top of page
The Ota Initiative Blog

First Stakeholders Meeting / Mkutano wa Wadau wa Elimu


On Monday December 2nd we held our first stakeholders meeting with parents and educators from the Kayanga community. After we further explained the program, we then welcomed questions, advice and ideas. We were not let down as we received many new ideas about how we can improve our program to better fit the needs of the community. We only hope now that we can put some of these ideas to work and run the best program possible!

Jumatatu tarehe 2/12/2013, tulikutana na wazazi wa wanafunzi wetu na wadau wa elimu wengine wa Kayanga. Baada ya kueleza zaidi programu yetu, tuliwaalika wadau kutoa maswali, ushauri na mawazo. Watu walitoa mawazo mengi mapya kuhusu namna ya kuboresha programu ili isaidie jamii. Sasa tutajaribu kufuata ushauri wa wadau wetu, na tuna matumaini kwamba tutafanyikiwa kabisa kwenye programu hii ya kwanza!


Recent Posts
bottom of page